Daily News yawasimamisha kazi watendaji wake kufuatia tangazo lililozua taharuki





Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja
Wawili hao wamesimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye tangazo la Pongezi ambazo pia zilionesha kuwa ni salaam za rambirambi kwa kifo cha Rais Samia Suluhu walilotoa katika Gazeti la Daily News la Machi 29, 2021

Kipande cha sehemu ya tangazo hilo kilichosambaa mtandaoni kiliandikwa ‘Congratulation, The board of Director, Management and Staff of STAMICO join fellow Tanzanians in mourning the death of H.E President Samia Suluhu Hassan for being sworn in as the 6th president of United Republic of Tanzania’

Katika hatua nyingine, TSN wamesitisha huduma za mwakilishi wa kujitegemea wa matangazo, Lameck Samson


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3dfbawE
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI