"Dkt Mpango alikuwa hafahamu kama atapendekezwa kuwa Makamu wa Rais' Waziri Lukuvi





Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema hadi wanaenda Bungeni asubuhi ya leo, Dkt Mpango alikuwa hafahamu kama atapendekezwa kuwa Makamu wa Rais. Lukuvi anasema Dkt Mpango alikuwa anaongea mambo mengine kabisa, kuonesha yeye na wabunge wengine walikuwa hawafahamu.
Lukuvi amewasisitiza Wabunge kupitisha jina la Dkt Mpango kwa anakidhi sana vigezo vyote kwa ajili ya nafasi hiyo.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3sErLAc
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI