Hawa ndio wabunge watatu wapya, Bashiru Ally ateuliwa na Rais

 
Rais Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadili ya baraza la mawaziri ambapo amemteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mipango na Fedha akichukua nafasi ya Dr.Philip Mpango ambaye ameapishwa leo kuwa Makamu wa Rais.



Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru Ally Kakurwa ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3dnXWNT
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI