Poshy: Uzazi Umeniongezea Mvuto





MREMBO ambaye umbo lake lilimfanya kumpa jina kubwa hapa mjini, Jacqueline Obadia ‘Poshy’ amesema kuwa tangu amejifungua mtoto wake, amezidi kuwa mrembo tofauti na hata alipokuwa hajajifungua.

Akizumgumza, Poshy alisema kuwa watu wengi wanadhani kuwa unapopata mtoto mwili unaharibika lakini ukweli ni kwamba ukizaa na ukajikubali mwili unakuwa mzuri na unaongezeka mvuto.



“Toka nimejifungua kwa kweli naona kabisa mvuto umeongezeka sana maana wengine walikuwa wanasema kuwa ukijifungua utaharibika lakini ukweli ni kwamba tangu nijifungue nimezidi kuwa bomba sana na ninavutia tofauti hata na mwanzo,” alisema Poshy.

Stori na Imelda Mtema | GPL


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3ub1zgW
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI