Ben Pol Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kuomba Ndoa yao na Arnelisa Ivunjike


Ben Pol Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kuomba Ndoa yao na Arnelisa Ivunjike

TAARIFA 

SHAURI LA TALAKA 

Ben Pol angependa kuthibitisha uwepo wa shauri la talaka dhidi ya mke wake linaloendelea katika Mahakama ya mwanzo hapa Dar es salaam.

Mahakama bado HAIJATOA talaka/ maamuzi yoyote mpaka pale litakaposikilizwa na kukamilishwa.

Masuala haya ni ya BINAFSI sana na kwa kuwa shauri linaendelea Mahakamani Ben Pol asingependa lizungumzwe zaidi kwa heshima ya pande zote na kwa kuheshimu kazi ya Mahakama.

Pia anaomba nafasi na faragha kwake na kwa familia katika kipindi hiki kigumu.

Anawashukuru wote kwa uelewa na pia kwa familia, marafiki na mashabiki wote kwa support mnayoendelea kuionesha.

Uongozi wa Ben Pol.

______________________

By date: 29 April 2021 

Headline: Ben Pol's divorce proceedings are ongoing. 

At this time, Ben Pol would like to confirm that his divorce proceedings are in progress at the primary court but have not yet been finalised.

These proceedings are a very private matter and he will not discuss any details out of respect for all parties involved.  

He kindly asks that space and privacy be given to him and his family during these challenging times. 

He appreciate everyone's understanding and takes this opportunity to thank his family, his friends and his fans for their ongoing support.

Ben Pol’s Management  


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3t7lb4T
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI