Breaking: Nyalandu Atangaza Kurejea CCM Mbele ya Rais Samia



Aliyewahi kuwa mwanachama wa CCM na Waziri wa Maliasili na Utalii na kisha baadaye kujiunga na Chadema Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kurejea CCM mbele ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Dodoma leo Aprili 30, 2021 akitokea CHADEMA.




from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3tcx6ys
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI