DC Hai Sabaya: akamata vifaa vya kutoa mimba na kung’oa meno ,alijifanya anafanya biashara ya mpesa



Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama imeongoza operesheni maalumu iliyofanikiwa kupatikana kwa vituo vya Afya Bubu ambavyo awali wamiliki waliendesha maduka yao kana kwamba wanafanyabiashara ya M-pesa/kubadili fedha kwa njia ya Mtandao huku kiuhalisia wanaendesha biashara ya kutibu na kuuza madawa ya binadamu kinyume cha kanuni na Taratibu za Afya.



Ole Sabaya ameelekeza mmiliki wa duka hilo Othaman Kimaro kushikiliwa na vyombo vya Dola ili atoe ushirikiano kwa matukio mbalimbali ikiwemo maelezo kuhusu vifaa maalum vya kutoa mimba, kung’oa meno, pamoja na kupatikana na madawa maalum ambayo kwa mujibu wa taratibu hutolewa kwa kibali maalum.

Ni daktari feki akitoa huduma za kibingwa.




from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3u3F79P
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI