Irene Uwoya acharuka,azungumza kwa ukali ‘Mimi ni mkorofi, iwe mwanzo na mwisho’



Ni Headlines za Mwigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya ambae time hii ameonekana kuongea kwa ukali baada ya  jina lake kutumiwa vibaya na watu kwanjia ya kutapeli mashabiki zake.


‘Naomba niongee haraka haraka sana kuna watu wanakera tena wananikera sana tena wanahisi mimi ni mpole naomba wajue mimi ni mkorofi sana, nimechoka na tabia za watu kufanya utapeli kwa kutumia jina lako huko Facebook sijapenda nimechoka’– Irene Uwoya



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/335i8zG
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI