Architects Wataalam wa Kuchora Ramani za Majumba na Ujenzi Kwa mahitaji ya ramani za nyumba za aina tofauti ikiwemo za gharama nafuu kulingana na mahitaji yako unazipata Architects Wasiliana na Architects (robindrl_studio) Simu +255687007159 Office Location: Mbezi Kinzudi Salasala. Tazama hapa chini Baadhi ya Kazi zao from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/qGyjSDM via IFTTT
"Ndugu wasomaji wangu, katika pitapita nyingi katika mitandao tofauti nikakutana na habari njema kama hii, nikizingatia pia wasomaji wengi hupenda sana elimu hii nikaamua kuchukua nafasi hii kuhakikisha unafikiwa na uhondo huu, napenda kukushirikisha kwani wengi waliopo katika mahusiano wanamengi sana yanayowakumba hasa katika kupeana tamu tamu za radha tofauti. Ni kweli kwamba utundu ukisahaulika katika ulaji mzuri wa pilau basi utadharaulika na kuonekana hujui kumbe mambo mazuri yapo tu hapa wazi na hakuna wakumlaumu eti mwanaume huyu hajui au mwanamke huyu hajui, wote mnatakiwa kuwajibika kuchochea maufundi. Kumbuka pia mautundu yanahitaji asante kwa kuendelea kutumia APP YETU Endelea kufurahia NA kujifunza mambo mbali mbali ya mahusiano tuachie coment yako na sisi tutaifanyia kazi pia fanyika mwana familia wetu kwa ku SUBSCRIBE chanel ya BONGO SPECIAL TV BONYEZA HAPA ASANTE VIDEO YA LULU DIVA SIWEZI TEMBEA NA JUX VIDEO H...
Mpenzi mwandani mahabubu Naanza kwa kukuomba samahani Kuandika kwa lugha hii legevu Nilijaribu lakini sikuweza Kuyasarifu maneno matamu Kwa lugha muafaka ya kimapenzi Mara nyingine ninaahidi Kutakalamu kwa lugha inayofaa Bidii nitafanya Kuyaelewa machungu na matamu yanguKwa lugha tukufu isiyo yangu Badala ya hiki kishairi duni, Nitakwandikia poem Nitajitahidi mpenzi Maneno kuyaelewa Si kwa jicho la kwangu kijijni Bali kwa mboni na urazini wa kule kulikotukuka Nitayatongoza machozi yangu Kububujika kwa vokali na konsonanti za kimombo Makali ya moyo wangu kulipuka kwa Kireno, Kitaliani au Kituruki Badala ya huu msamiati nilokujazia hapa, Nitakuwa na vocabulary Mpenzi nitakusifu Kwa majina ya mimea, wanyama na ndege Wasiopatikana kwetuNitakutungia koja Nilirembe kwa vito na maua ya nchi za baridi Au mimea ya jangwa...
Comments
Post a Comment