Alikiba "Ntaenda Kigoma kumpa support Nandy anajituma sana anahitaji kupewa nguvu"




Baada ya msanii wa Bongo Fleva Nandy kuanzisha taamsha lake la NANDY FESTIVAL na katika tamasha hilo kuna baadhi ya wasanii ambao watakuwepo na miongoni mwao akiwa ni Alikiba, Kupitia ukurasa wake wa Twitter Alikiba ameandika kuwa :



“Sanaa yetu ina upungufu wa wasanii wa kike, inabidi waliopo wapewe nguvu ili waweze kufanikiwa zaidi.

@officialnandy
ni msanii anayejituma na mwenye jitihada. Napenda anachofanya na ndio maana Jumamosi ijayo nitaenda nyumbani Kigoma kumpa support katika #NandyFestival #StrongGirl”


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3vF890p
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI