Breaking News: Mchezaji Carlinhos Avunja Mkataba na Yanga...Sababu Hii Hapa

 


Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja mkataba na klabu yake ya Yanga na kurejea nchini kwao Angola huku sababu za kifamilia zikitajwa kuwa chanzo cha nyota huyo kuomba kuvunja mkataba



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3fxQLoG
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI