Helkopta ya Raila Odinga Yapata Ajali Mbaya Baada ya Yeye Kushuka


Helikopta ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na Kiongozi wa Chama cha Upinzani nchini Kenya cha ODM imepata ajali muda mfupi tu baada ya kumshusha yeye na Wasaidizi wake eneo Gem, Siaya, Kenya.

Taarifa ya Citizen TV imesema hata hivyo Rubani na Abiria wengine wanne waliokuwemo ndani yake wametoka salama ila wamepata majeraha madogo


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3uutsQY
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI