Irene Paul "Natamani Tumpigie Kura Diamond Ashindi Alafu Mengine Tutajadili Baadae"


''TANZANIA YETU.....LETS VOTE Ifike mahali tuthamini juhudi za mtu binafsi katika kuleta heshima kwa taifa letu na tuache mengine yote pembeni,hebu tufikie stage kukubali kwamba at the end of the day huyu ndio "NEMBO NA KINARA" ya mziki wa Tanzania kwa sasa.

Sikatai na wala sipingi kuwa kuna wengi wazuri zaidi yake na kuna wanaofanya vizuri lakini haitatosha kumvua #platnumz heshima aliyotuletea kama Tanzania pamoja na mengine yote yanayoendelea,WENGI WATAFUATA LAKINI NI BAADA YA YEYE KUCHORA RAMANI YA JINSI INAVYOFANYIKA.

Ninatamani tumpigie kura kwanza huko kwa #BET then turudi nyumbani tuongee tunayojisikia maana at the end of the day tutakuwa tumeshatambulika zaidi na kujulikana kama Tanzania. LETS VOTE and VOTE and VOTE again....tupeperushe Tanzania yetu. N.B :jamani kwa wale wa ma team na maneno machochezi post hii haiwahusu🙏🏼 '' @irenepaul001



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3vB9CVu
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI