Mange Kimambi Amshukia Wema Sepetu "Wakenya walivyo watakufikisha mahakamani hao"


Reposted from @mangekimambi_ Wanaosema ulikuwa unapendeza na unene ni washamba tu. You look amazing right now. Stay like this.

Anyways, ushauri wangu, do the right thing. Do the fair thing. Fanya haki. Kumbuka hizi ni biashara za watu. Ulichowafanyia sio haki.

Nakwambia sababu na mimi dadako ulishawahi kunifanyia. Niliboeka kinoma ila sababu ya udada nikajikaza, sikusema kitu. Kipindi kile natuma vitu from US. Nilikutumia kinky curly Weave unitangazie. Ukasuka na ukaposti picha ila ukajikausha no mention nothing na kwenye comments uliulizwa umenunua wapi. Niliumia. Na hapo nilitumia only about $200 ila niliumia hadi maini sasa naelewa hawa waliotumia mamilioni wanajisikiaje. I’m sure hukujua hata kama nilikumaindi kindaki ndaki ndo umejua leo.

Na waKenya walivyo watakufikisha mahakamani hao. Na utauziwa hata gari au chochote ili mradi uwalipe. Wakenya ni balaa lingine, wako makini kwenyw biashara na ndo maana walikurekodi kila kituuuuuu wakati mna sign mikataba.

Sasa nachokushauri fanya ulichokubaliana nao. Watangazie. Kwani utapungikiwa nini? Unajiharibia brand yako for no reason. Unaonekana tapeli.

Hapa US mastaa kibao wanafanya hiyo gastric bypass na wanakuwa proud na wanatangaza. Sasa sijaelewa wewe unaona tatizo gani? Wala sio issue hiyo kitu, ni sawa na mimi dadako nilivyofanya boob job, au sawa na waliorekebisha pua, au sawa na waliofanya BBL, au waliofanya tummy tuck. This is unnecessary embarrassment umejiletea.

Please do the right thing. Inauma sana ulichowafanyia. Ni kama wametapeliwa.

By the way huu mwili ulitakiwa uwe ushaolewa na mzungu by now. Huo mwili achana na na wabongo, wanapenda maunene. Na wewe mzungu ndo anakufaa. Mzungu hajali past yeye nachojali ni present and future. Utapendwa, utazaa vitooo vizuriiiiii, utaishi kwa amani achana na wanaume wa kibongo. Embu anza urafiki na huyu Shogangu utaolewa na mzungu fastaaa @mamasunshine217 . Acha kuhangout na mijitu ya uswahilini bwana. . Just tafuta right friends kama huyo Killy.

PS:
Hii issue imebidi niposti. Wakenya wanasumbua huko DM na whatsapp utasema nchi yao nzima wanamdai Wema. Wanasema niwe fair niandike. 😩


from Udaku Special https://ift.tt/3h40UtX
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI