Maestro: Ukimya wa Babra ndio uliomuondoa Manara

 



Mtangazaji huyo na mchambuzi wa soka kutoka Efm Maestro Ibrahim ameongeza kuwa Haji Manara alifanya kosa kuongea mambo ya Simba hadharani huenda hakujua madhara yake shida inakuja CEO @bvrbvra alitumia busara akakaa kimya bila kumjibu kitu

Haji Manara ameifanyia Simba mambo makubwa sana lakini kwa hili alilofanya ilitakiwa mmoja aondoke, je kwa muliozisikia sauti ungemuadhibu nani kama wewe ungekuwa msuluhishaji Haji Manara au @bvrbvra ambaye hakuongea chochote?

Kwa haya maamuzi nafikiri Simba wameonyesha ukomavu kwenye uongozi, simshauri Haji Manara arudi Simba kinachotakiwa afanye mambo yake.





from Udaku Special https://ift.tt/3zYykAS
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI