Essence ya Wizkid yaongoza kutafutwa Marekani kupitia Shazam




Kampuni ya kuuza muziki mtandaoni ya @shazam imempongeza staa wa muziki kutoka nchini Nigeria @wizkidayo kwa ngoma yake ya #Essence kuongoza kutafutwa mtandaoni nchini Marekani kupitia mtandao huo.

Ikumbukwe @wizkidayo aliifanyia ngoma hiyo Remix baada ya mara ya original yake kumshirikisha mwanadada @temsbaby kutoka nchini Nigeria lakini Remix yake akimuweka @justinbieber


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3jve70b
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI