Gwajima Akutwa na Hatia, Bunge Lampa Adhabu Hii Kabambe



Kamati ya Maadili imependekeza vyom6bo vya Usalama kumchunguza Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kutokana na kauli alizokiri kutoa Kanisani kwake

Aidha, Chama kilichompa tiketi ya kupata Ubunge (CCM) kimetakiwa kumuwajibisha kwa mujibu wa taratibu zao

Kamati imependekeza Gwajima asihudhurie mikutano miwili ya Bunge mfululizo




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BiJyB4
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI