"Manara Aluwekwa Jela Sababu ya Mo Dewji, Nikamuuliza Unapata Faida Gani " Baba wa Haji Manara



"Kuna wakati Haji aliwekwa ndani kwa ajili ya kumtetea Mo kama mnakumbuka, baada ya kutoka mimi nikamuuliza unapata faida gani?" "Tangu zamani Haji amekuwa anatukanwa peke yake mitandaoni kwa ajili ya Simba lakini amekuwa akinyanyasika sana, sisemi kwamba hajapata faida lakini amehangaika sana mwenyewe" - Mzee Sunday Manara.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BlR0eC
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI