Mke wa Ali Kiba "Mimi na Ali Kiba Bado Hatujaachana Nampenda Sana"



Mke wa Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (@officialalikiba ) Ambaye Sasa Anaishi Nchini Kenya Bi Amina Amefunguka kuwa Hawacha Achana na Baba Wa Mtoto wake.

"Watu Wengi Wanaongea Mengi kuhusu Ndoa Yetu Ila Hawajui tuuu Mimi Nipo Kenya Kikazi tuuu Sio Kuwa Kwangu Kenya na Yeye kuwa Tanzania Ndio Muanzishe Habari Zisozo na Ukweli Wowote Nampenda Sana Baba Wa Watoto Wangu na Tupo pamoja Nae Milele"-Amefunguka Bi Amina


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3kEtlQ2
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI