Unaambiwa Huyu Ndiye Mwanajeshi wa Mwisho wa Marekani Kuikanyaga Ardhi ya Afghanistan



Afisa huyu ametambuliwa kuwa ni meja jenerali Chris Donahue, kamanda mkuu wa kitengo cha makomando wa kikosi cha 82 ABNDiv, akisbiria ndege ya kusafirisha mizigo ya jeshi la wanahewa la Marekani aina ya C-17 usiku wa kuamkia leo Agosti tarehe 31 kuashiria mwisho wa vita vilivyodumu kwa takriban miaka 20 kati ya Marekani na wapiganaji wa Taliban.


Milio ya risasi ilisikika kote jijini Kabul wapiganaji wa Taliban wakisherehekea “Ushindi dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake”



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3kx6Egk
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI