Jua la Bandia Kuanza Kufanya Kazi 2035
NCHI ya China ni miongoni mwa mataifa yaliyopiga hatua kwenye upande wa Teknolojia na hivi karibuni wameweka rekodi mpya baada ya kufanikiwa kutengeneza ‘Plasma’ ya nyuzi joto Milioni 120 kwa sekunde 101 na joto la Milioni 160 Celsius kwa sekunde 20.
Kituo hicho cha utafiti ni sehemu ya mradi mkubwa wa dunia “International Thermonuclear Experimental Reactor” (ITER), ambapo nchi nyingi zinashiriki kufanya majaribio ya kutengeneza nishati salama inayotokana na ‘nuclear fusion’ na itaanza kufanya kazi mwaka 2035 kwenye nchi kama 35.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3kUf0Ac
via IFTTT
Comments
Post a Comment