Kanye West Hataki Mchezo Kabisa, Amfutilia Mbali Chris Brown kwenye Kolabo yao "New Again" iliyoko Kwenye Album


Kanye West amefanya mabadiliko machache kwenye album yake "DONDA" ambayo ilitoka August 29 mwaka huu. Kanye amemuondoa kabisa Chris Brown kwenye Kolabo yao "New Again" lakini pia amefanya mabadiliko kwenye baadhi ya nyimbo kwa kufanya mixing upya kwenye wimbo kama 'JUNYA' na nyingine.

Chris Brown ni miongoni mwa wasanii ambao waliibuka na kumuangushia matusi Kanye West kwa kufuta verse zao kwenye album yake, CB alidai alishiriki kwenye ngoma mbili lakini alijikuta kwenye ngoma moja baada ya album hiyo kutoka. Sasa Kanye ameamua kumuondoa kabisa Breezy!



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3AThsfZ
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI