Rayvanny Afunguka Sakata la Kumnyang'anya Chege Msanii Wake Macvoice


Star wa Muziki Barani Afrika @rayvanny 🐆 na C.E.O Wa @nextlevelmusic_tz Ameweka Wazi Kuwa Aliomba Ruhusa Kwa @chegechigunda Kabla Ya Kumchukua @macvoice_tz

"Nilimuomba Ruhusa @chegechigunda Kabla Sijamchukua @macvoice_tz" @rayvanny

#Rayvanny Amethibitisha Hilo Kupitia #TheSwitch
Ya @wasafifm Leo





from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3CXJXJV
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI