Shamsa Ford Afunguka "Mwanaume Akinitongoza Kinachofuata ni Kumuomba Hela Mambo ya Baby Umeamkaje Sitaki"



Mwanamama kunako Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba inapotokea akatongozwa saa mbili asubuhi, basi kinachofuata saa tatu kasoro ni kuomba.
Shamsa anasema anafanya hivyo ili kumuona kama mwanaume huyo yupo siriaz au ni mtu wa aina gani.

Anasema kila mwanamke anataka mwanaume wa kumhakikishia maisha ili inapotokea akawa na tatizo f’lani, basi awe na uhakika wa kumsaidia na mambo ya umeamkaje, umevaaje au umekula kwa upande wake hayana nafasi.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3G1gJLA
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI