Mange Kimambi "Jamani Wananiloga"


Reposted from @mangekimambi_ Dah, I hope you are all having a great new year because I’m definitely not.

I have lost 90% of my database. Including users. Alafu kumbe tulikuwa hatuback database so there’s no way to restore. Sijui hata nini kimetokea ila nimekaa hapa nashindwa kujua nilie au.

I’m still in shock. Yani mpaka mimi mwenyewe username yangu ime deletiwa.

Anyways, that’s not your problem it’s mine.

Naombeni mnisamehe kwa tatizo hili.
Elfu moja ni hela nayo na nna deserve better than this.

Sina kingine cha kufanya zaidi ya kutoa free service ya App na website kwa mwezi mzima.

Nasubiria developers wa website ambao wako Tanzania waamke wabadilishe iwe bure na nasubiri developers wa App ambao wako India waamke wabadilishe pia iwe bure.

Karibia woote mliokuwepo mwanzoni itabidi mfungue tena account mpya sababu account zenu hazipo tena.

Nitaacha website na app ziwe free mpaka hapo ambapo teknolojia itakaa sawa.

To my team don’t worry, I got you. Shemeji yenu atasaidia wooote tupokeee mishahara yetu ya January. Msi stress kabisaaaa, giving up is not an option.

Anyways, wooote ambao hamuwezi kuingia please msiwe na wasiwasi mtaweza na mtaingia free.

Happy New Year kwenu wooooote.
Mimi sina cha new year wala nini mwaka huu nipo nakaribia kuangua kilio.

Jamani wananilogaaaaaaaaaaa😭😭😭😭


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/31dhSB4
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI