Mwanamuziki Willy Paul Kugombea Ubunge Nchini Kenya


 Kutoka kwenye post ya mwanamuziki @willy.paul.msafi ameandika

“Are you ready Mathare? Let's bring that change. #levels”

akiambatanisha na picha inayothibitisha nia ya kugombea kiti cha ubunge katika jimbo la Mathare nchini kenya mwaka 2022.

Endapo mwanamuziki huyo atafanikiwa basi ataingi kwenye orodha ya wanamuziki walio geukia siasa akiwemo mbunge wa jimbo la starehe Charles Njagua Kanyi, (Jaguar).



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3HlKSpS
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI