Rema Aingia Kumi na Nane za SHATTA Wale, Baada ya Kutweet Kutaka Wanawake 10 wa Ghana wa Kumpooza Akili


Ikiwa ni siku chache tu,tokea msanii wa Ghana mwenye miondoko ya Reggae Dancehall, @shattawalenima kusema hataki wasanii wa Nigeria nchini Ghana kutokana na vitendo vyao vya kutosupport wasanii wengine wanaotoka nje na taifa lao, msanii Kinda tokea Nigeria, @heisrema ameyavagaa baada ya tweet yake kutaka wanawake 10 wa Ghana wataomtuliza akili punde tu atapotua nchini humo hapo kesho.


Tweet hiyo imemfanya Shatta Wale aone ni kauli ya kuwavunjia heshina wanawake wa taifa lake la Ghana, huku akimuuliza kama hana pesa za kwenda kufanya massage hadi anatweet ujinga kwa kuwa tu yeye ni star. Pia Wale amedai kama wanamjua vizuri basi hawawezi zungumzia ishu za chuki,maumivu n.k anachofanya anawaambia ukweli mashabiki wa Nigeria na kama hawautaki wakanywe pamba.



Pia jamaa ameahidi wakiendelea na ujinga huo,atawabebea mabango kwa miaka 30 kama wanatazama mchekeshaji wao pendwa wa kinaigeria.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3qHC07o
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI