Breaking: Babu Juma Duni Haji ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa


Babu Juma Duni Haji ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho unaoendelea usiku huu Dar es salaam, nafasi hiyo ilikuwa wazi baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshinda nafasi ya Umakamu Mwenyekiti Zanzibar wa Chama cha ACT Wazalendo Kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa ACT unaofanyika leo Dar es salaam, Msafiri Mtemewa ameshinda nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/l4boWXSsY
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI