Serikali Kukabiliana na Uhalifu Mtandaoni..Matapeli na Wanaodhalilisha Watu Mitandaoni Kukiona



Uhalifu wa kimtandao umetajwa kuwa suala kubwa katika siku za karibuni, na kadri Teknolojia inavyozidi kutanuka ndiyo matatizo ya uhalifu wa kimtandao yanavyoongezeka

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni amesema lazima Jeshi liwe tayari kukabiliana na mabadiliko ya aina yoyote kudhibiti uhalifu huo ambao haukubaliki na hauwezi kuachwa uendelee

Ameeleza, "Wapo watu wamekuwa wakitumia mitandao vibaya kudhalilisha watu. Wengine ni watu wazima wanaweza kuwa Wazazi wao. Wapo wanaotumia mitandao kufanya wizi na utapeli"




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/4n0EdlL3s
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story