Utafiti...Unaambiwa Wanaume Wanaochepuka Sana Wako Kwenye Kundi la Binadamu Wenye Akili Ndogo "Lower IQs"


#UNAAMBIWA: Mwanaume ambaye humsaliti Mpenzi,Mchumba au Mke wake mara nyingi huenda akawa kwenye kundi la Watu wenye akili ndogo (Lower IQs) kwa mujibu wa Mwanasaikolijia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science.

Mwanasaikolojia huyo anasema kadri Mwanaume anavyokuwa smart na mwenye akili kubwa ndivyo uwezekano wa yeye kuchepuka unavyokuwa mdogo "Mwanaume mwenye akili kubwa huwa ni ngumu kumsaliti Mwenza wake"


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/XkACSjJPM
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI