Beach plots for sale: Mbweni Kiembeni




Viwanja vinauzwa bei nafuu sana hapa mtaa wa Kiembeni, Mbweni Mwisho.
Kama hukuweza kupata kiwanja Beach za Masaki, Msasani, Kawe, Mbezi, Kunduchi na Ununio. Sasa wahi hii fursa ya viwanja vya tsh milion 7 kwa kiwanja Cha   sqm 400 (mita 20/20) na tsh milion 9 kwa kiwanja Cha sqm 500 (mita 2/25).
Ukitaka kikubwa zaidi unaunganisha viwanja.

Viwanja viko umbali wa mita 100 tu kutoka baharini na km 4 kutoka main road ya Dar to Bagamoyo.

Huduma zote za umeme na maji zipo.

Call 0758603077 au whatsap 0757100236


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/x9o7uFn
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI