Nape Nhauye "Sasahivi Hatutafunga Vyombo vya Habari, Tutadeal na Mwandishi au Mtangazaji Husika Aliyekosea"


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kupitia Clouds360 ya CloudsTV leo amesema Serikali haina mpango wa kuvifungia Vyombo vya Habari kwa makosa ambayo yamefanywa na Waandishi wao ambapo amesema kwa sasa watakuwa wanatoa adhabu kwa Waandishi wa Habari waliofanya makosa.

"Hatuna mpango wa kufungiana Media, kwa mujibu wa sheria ya 2016 ni kukushughulikia wewe uliyeleta shida kama Mwandishi na sio Media, Gazeti lina Wafanyakazi 50 yule Mfagiaji, Mhasibu hausiki na story halafu sisi tuwaadhibu wote haifai, mbona Daktari akikosea hatufungi Hospitali?" ——— Nape Nnauye.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/m5ApZjI
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

JINSI YA KUMVUTIA MVULANA/MSICHANA HADI KUWA MPENZI WAKO

Nikiwa na Msichana Namkinai, Hivi Nina Pepo au ni Tamaa tu?