Chris Rock Akataa Kumfungulia Mashtaka Will Smith


Mchekeshaji Chris Rock amekataa kufungua mashtaka dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi jukwaani wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za Oscar.

Kwa mujibu wa ripoti, Idara ya Polisi jijini Los Angeles imesema ina taarifa za tukio hilo, na kwamba mhusika akibadili uamuzi, polisi watakamilisha ripoti ya uchunguzi.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/rhfacIb
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI