Rapa Megan Thee Stallion Alinipiga Risasi Kisha Akaniambia Nisiseme Atanipa Bilioni 2"


Rapa Megan Thee Stallion ameendelea kufunguka ambayo hatuyafahamu kwenye shtaka lake la kupigwa risasi ya mguu na Tory Lanez Julai 12 mwaka 2020 Jijini Los Angeles, shtaka ambalo bado linaendelea mahakamani.

Leo (April 25) Televisheni ya CBS imeachia mahojiano yote ya Megan Thee Stallion ambayo alifanya na Gayle King, alisema Tory Lanez alijaribu kumfumba mdomo kwa kutaka kumpa kiasi cha ($1M) zaidi ya TSh. Bilioni 2.3 ili asiwaambie polisi kuwa ndiye aliyempiga risasi.

“Aliomba radhi, alisema samahani sana tafadhali usimwambie mtu yeyote, nitakupatia ‘Dola Milioni’ kama hutosema chochote.” alieleza Megan Thee Stallion kwa uchungu huku akifuta machozi.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Mrf2FGY
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI