Star Wa Filamu Nchini Tanzania Irene Uwoya Kufunga Ndoa Ingine


Star Wa Filamu Nchini Tanzania Irene Uwoya Ameonesha Hamu ya Kufunga Ndoa Kwa Mara Nyingine Tena

Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram Ameandika haya Hapa:

"I can't wait for My Wedding, I Love You @krishndiku08" - Uwoya

Hii inaonyesha Kuwa Kuna Kitu kinakuja huenda Amepata mchumba Mpya , wazungu Wanasema time will tell

Hii Itakuwa Ni Ndoa Ya Pili Baada Ya Kuvunjika Ile Aliyofunga Mwanamuziki Dogo Janja Ambayo ilidumu Kwa Muda mchache Sana




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/SCR2GrN
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI