Well Done Inonga...Simba Wanahitaji Roho na Damu Kama Hizi Tano Kwenye Timu


Unahitaji roho na damu kama hizi tano kwenye timu, unahitaji chui kama hawa watano kwenye timu yako

Mmoja anatuliza mstari wa ulinzi, wawili wanatuliza mstari wa kati, mmoja mwishoni anamwambia Sakho asipake sana rangi upepo

Kisha mmoja kwenye bench anaingia kama game changer

Yes wanae mmoja tayari wamalizie na wanne kwenye dirisha la usajili, unahitaji wakatili wengi kama INONGA

Shaffih Dauda


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/1MFZ2i3
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI