Edo Kumwembe Ataka Simba Wamchukue Kocha wa Al Ahly Kuonesha Ukubwa wao


Ameandika Edo Kumwembe:

"Wakubwa wa MSIMBAZI....Ni wakati wa kuonyesha ukubwa wenu kama inavyosemwa....huyu jamaa anaweza kufukuzwa hapo Al Ahly....na nyie mnaweza kumfukuza Pablo....so chukueni huyu mtu...Al Ahly walikuwa wanamlipa milioni 280 kwa mwezi....Mkubwa MO....wakati wa kuonyesha ukubwa tunaouzungumza mitandaoni.....inawezekana kabisa" Edo

from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Rkr9FLC
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI