Simba Yapigwa Faini Tena Kisa Hichi Hapa



Klabu ya simba imetozwa faini ya sh 1,000,000(milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake kumrushia chupa za maji mchezaji wa Azam Fc Daniel Amoah wakati mchezo wao namba 206 kwenye uwanja wa Azam Complex Mei 18, 2022.

Pia simba imetozwa faini ya kwa kosa la timu yake kuchelewa kutoka kwenye chumba cha kuvalia nguo kwa dakika nne hali iliyosababisha mchezo huo uanze saa 1:04 usiku badala ya saa 1:00 usiku.

Adhabu hizi ni kwa kuzingatia kanuni ya 47:7 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa klabu.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/6VbUvQs
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI