Mchezaji Cristiano Ronaldo Afikiria Kuondoka Manchester United..Kisa na Mkasa Huu Hapa

 


Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka Manchester United ikiwa timu hiyo haitafanya usajili mzuri katika dirisha la sasa


Ronaldo ambaye alirejea klabuni hapo mwaka 2021 baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kwenda Real Madrid yupo tayari kubaki ikiwa usajili kwa ajili ya msimu ujao utakuwa mzuri


Aidha, Bayern Munich ambao wanahusishwa kutaka kumsajili wamesema hawana mpango na Ronaldo ambaye msimu uliopita alifunga mabao 24 katika mechi 38



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DxNZCmP
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI