Wahamiaji 46 Wapoteza Maisha Kwenye Lori Marekani



Watu wapatao 46, wamekutwa wamefariki wakiwa kwenye lori liliotelekezwa katika mitaa San Antonio, Texas.

Afisa mmoja wa zimamoto amesema watu 16, wakiwemo watoto wanne, pia wamepelekwa hospitali kwa matibabu zaidi.

San Antonio ambayo ipo kilometa 250, kutoka mpaka wa Marekani na Mexico, ambayo ni njia kuu ya kusafirishia watu.

Wasafirishaji haramu wa binadamu mara nyingi hutumia lori, kuwasafirisha wahamiaji wasio na vibali baada ya kukutana nao kutoka maeneo mbali mbali, mara baada ya kufanikiwa kuvuka na kuingia Marekani.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nrPQy7l
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI