Uteuzi Mpya wa Rais, Amos Makalla Anaendelea Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam


Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo Amos Makalla ameendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.

John Mongella ameendelea kuwa RC Arusha, Charles Makongoro Nyerere ameendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Juma Homera ameendelea kuwa RC Mbey 



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/UdDsALP
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI