"Ndugu wasomaji wangu, katika pitapita nyingi katika mitandao tofauti nikakutana na habari njema kama hii, nikizingatia pia wasomaji wengi hupenda sana elimu hii nikaamua kuchukua nafasi hii kuhakikisha unafikiwa na uhondo huu, napenda kukushirikisha kwani wengi waliopo katika mahusiano wanamengi sana yanayowakumba hasa katika kupeana tamu tamu za radha tofauti. Ni kweli kwamba utundu ukisahaulika katika ulaji mzuri wa pilau basi utadharaulika na kuonekana hujui kumbe mambo mazuri yapo tu hapa wazi na hakuna wakumlaumu eti mwanaume huyu hajui au mwanamke huyu hajui, wote mnatakiwa kuwajibika kuchochea maufundi. Kumbuka pia mautundu yanahitaji asante kwa kuendelea kutumia APP YETU Endelea kufurahia NA kujifunza mambo mbali mbali ya mahusiano tuachie coment yako na sisi tutaifanyia kazi pia fanyika mwana familia wetu kwa ku SUBSCRIBE chanel ya BONGO SPECIAL TV BONYEZA HAPA ASANTE VIDEO YA LULU DIVA SIWEZI TEMBEA NA JUX VIDEO H...
Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza jinsi ya kutumia maneno matamu . Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni. Wakati wanaume wengine wanalalamika ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi sana , ni kwa sababu hawatumii maneno sahihi. Watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui wapi pakuanzia na wataanzaje, ngoja tuanze na haya maneno yafuatayo, maneno matamu ya kumwambia msichana. 1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako. 2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu. 3.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua. 4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu. 5.Umefanya ndoto zan...
Mara nyingi wengi wa wadada na wakaka wameshindwa kujua au kusoma ishara za pale wanapovutiwa au wanapokuwa wamevutiwa na mtu ambaye kwa Mara ya kwanza wanaweza kujuana na kuwa wapenzi au marafiki. Hebu fikiria imetokea Mara ngapi kwa baadhi ya wadada au wakaka wakakutana siku ya kwanza na kisha wakaunda mapenzi na wengine hufikia kufanya mapenzi kabisa katika siku ya kwanza tu wanapokutana. Unadhani ni uchawi?! Unadhani ni maajabu?! Usiwaze sana,, Ni jambo la kawaida sana hasa ukijua baadhi ya ishara na kujua kusoma lugha ya matendo ambayo kwa mdada au mkaka mliyeonana nae kwa Mara ya kwanza atakayokuonesha na kisha ukaweza kuongea nae kwa Mara ya kwanza pasipo kutumia maneno. Lugha ya macho au lugha ya matendo ina nafasi kubwa sana katika mahusiano pengine kuliko maneno ya kawaida. Leo katika post hii nitapenda kuzungumzia suala moja tu la Lugha ya macho na jinsi inavyoweza kumshawishi mwenzio hadi mkaanza kujenga urafiki. Lugha ya macho ina nafasi kubwa sa...
Comments
Post a Comment