Mke wa Mrema Kuzungumza na Waandishi Sakata la Mali za Urithi


Mke wa Mrema kuzungumza na waandishi sakata la maliWakati bado kukiwa na usiri mzito kuhusu Wosia alioacha marehemu Dkt Augustine Lyatonga Mrema, mke wa Marehemu Bi Doreen Mrema amepanga kukutana na waandishi wa habari .

Mkutano wa Doreen na Wanahabari unakuja kukiwa na madai ya mmoja wa watoto wa marehemu pamoja na shemeji yake kutoa tairi za gari aina ya Toyota Harrier lililokuwa nyumbani kwake Salasala Dar es Salaam.

Taarifa kutoka ndani ya familia hiyo zimeeleza kuwa kwa sasa gari hilo limeondolewa kwa gari la kubeba vitu vizito na kupelekwa kusiko julikana .

Doreen pamoja na watoto wa marehemu hawakuw atayari kuzungumzia hayo yanayoendelea licha ya kwamba funguo ya gari hizo zikitajwa kuwa kwa Doreen.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ubcMQwX
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI