Abdu Kiba Arusha Jiwe Gizani " Eti SIMBA? SIMBA Sifa, SIMBA analiwa"



''Eti SIMBA? SIMBA Sifa, SIMBA analiwa, SIMBA anafugwa 👑SIMBA anazaa, Bado anazaliwa✍🏿 @officialalikiba 29/09/2022'' Amepost @officialabdukibaa Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Ujumbe Ambao Ameleta Maswali Mengi Kwa Mashabiki Na Wadau Mbalimbali Ambao Wengi Wamekua Tafsiri Zao Binafsi Kuhusiana Na Ujumbe Huo.

#ABDU Ameacha Maswali Mengi Kwa Mashabiki Wakitamani Kujua Ni #SIMBA Yupi Haswa Amelengwa Maana Kuna Baadhi Ya Wasanii Pia Wanatumia Jina Hilo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/RNtJTxm
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI