Ally Kamwe "Al Hilal ni Timu Ndogo Sana Tofauti na inavyozungumziwa na Wachambuzi"



Afisa Habari mpya wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wapinzani wao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Al Hilal ni timu ndogo sana tofauti na inavyozungumziwa na wachambuzi wa soka.

Ally Kamwe ameyasema hayo kupitiwa Wasafi fm, Yanga itashuka kwenye uwanja wa Mkapa Oktoba 8, 2022 kukabiliana na timu hiyo kutoka Sudan


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/5I20O8p
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI