Haji Manara Atoa Mpya "Ommy Dimpoz Hawezi Kuoa Kamwe, Atapata Tabu Sana Kuishi na Mwanamke"


“Ommy Dimpoz hawezi  kuoa kwasababu  atapata tabu sana kuishi na Mwanamke kutokana na yeye kujipenda sana  na kuwa  msafi mno kupitiliza, anapenda  kuoga mara nyingi, anapenda kuvaa  nguo sana na kubadilisha na anatumia muda mwingi kwenye kujiangalia na kujitayarisha anapokuwa anajiandaa zaidi hata ya Mwanamke, Amna mwanamke ambae atakaa naye na  kuweza kumvumilia” alisema Manara @hajismanara

Nini mtazamo wako kutokana na kauli hii ya Haji  Manara kwa Ommy Dimpoz?  


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/YmnQvs6
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI