Mke Mpya wa Manara Avunja Ukimya "Sijafata Pesa ni Kweli Nina Mtoto na Producer wa Ali Kiba"




Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote.

Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria.

Katika Hatua Nyingine kipusa huyo Mpya wa Manara Amekubali Kuwa ni Kweli Alikuwa Mpenzi wa Yogo ambae ni producer wa Ali Kiba na Wana Mtoto Mmoja wa Miaka miwili, Amesema uhusiano wake na Yogo ulivunjika muda mrefu Takribani Miezi 11 Iliyopita.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/x0G5hOY
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI