Mr II Sugu Afunguka "Mkwanja Unaleta Raha Kwenye Mapenzi" - Mr II Sugu


Mkongwe wa mziki wa HipHop Mr II Sugu amepigia misumari kauli ya mapenzi yanaenda sawa na pesa kwa kushea ujumbe unaoeleza kuwa pesa haiwezi kununua mapenzi lakini ikiwepo inaleta raha.

"Ni kweli money can't buy  love but mkwanja kiasi ukiwepo unaleta raha kwenye mapenzi. Dogo langu Fred Vunja bei atakubaliana na mimi" - Mr II Sugu 

Ikumbukwe hata Barakah The Prince alishaimba kwamba mapenzi sio pesa ila pesa ikikosekana mapenzi yanapungua.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/hSxWDgu
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI