Mwambaji Ruger Atoa Bongo Kukiwasha Jukwaa Moja na Rosa Ree, Jaymelody na Nyanshiski


Kutoka kwenye Twitter ya Staa wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambae kwa sasa yupo Hapa Tanzania kwa Ajili ya Kutumbuiza Siku ya Tarehe 01, Octoba Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Ameandika Ujumbe Huu...

"TANZANIA 🇹🇿 !!!! I’m here and i didn’t forget my bags . See you October 1st ❤️"

"Tanzania Nipo Hapa na Sijasahau Mabegi yangu,Tukutane Octoba 1 ❤️

Tunakumbuka Msanii Mwenzie kutoka Nchini Nigeria @kizzdaniel Alikutana na Misukosuko Baada ya kutua Tanzania na kushindwa kufanya Show kwa sababu ya Kusahau Mabegi yake ya nguo.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/932hcKl
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI