Rayvanny Sio Bilionaire Aache Kupotosha Umma




Baada ya @rayvanny ku-sign Deal na @mziiki, kama Wasambazaji wa kazi zake, amesema kwamba hivi sasa ni Billionaire kutokana na Deal Hilo.


Kwanza kabisa @rayvanny inabidi aheshimu sana Neno "Billionaire", kuna maneno ya kuropoka ropoka ila sio hili neno. Tanzania nzima mpaka sasa inaaminika kwamba Billionaire ni Mmoja tu, @moodewji , sasa huyu Rayvanny anatoa wapi Confidence ya kuropoka kwamba yeye ni Billionaire?


Hivi anaelewa kweli namna ambavyo Billionaire anapatikana? Au anajua kumilikia Tsh Billion 1 unaitwa Billionaire? Mbona Mabillionea wangekuwa wengi sana, mpaka mtu anayemiliki Nyumba tatu, Gari, Mashamba kadhaa na yeye angekuwa Billionaire.


Rayvanny pita hata memkwa, Ubillionea unahesabiwa kwa Us Dollar sio Tsh, Ili kuitwa Billionaire lazima utajiri wako Usome kuanzia DOLLAR BILLION MOJA, DIAMOND TU NI MILLIONAIRE, WEWE UNAPATA WAPI UJASIRI WA KUJITANGAZA BILLIONAIRE?


NB: Billionaire is a person possessing assets worth at least a billion pounds or dollars.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/FitfCuq
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI